Ushauri wa namna hii ni hatari, kwani wazazi wake ndo waliompa mimba? Hivi unadhani mtoto akikua hatamtafuta BABA (biological father)? Ni jukumu la Baba kulea mtoto wake. Pamoja na kuwapinga sana akina Lara1 (Free P) na Miss Chagga kwa kudhani kufikiria kuwa mapenzi hayahitaji pesa, kwa hili nakubaliana na usemi wao kuwa mwanaume pochi. Pamoja na yote msichana lazima aangaze mbele kabla ya kuingia mahusiano (Je, ukiibeba ataweza kuitunza?) inawezekana kweli Kijana hana uwezo wa kutoa 25,000, hivyo msala unaenda kwa msichana.