Kweli Mimba Kiboko

Kweli Mimba Kiboko

Noma sana mimi mwenyewe niko kwenyeihusiano na mtu ambae anamimba ya mtu mwingine alitaka kunibambika ila mimi nimemwambia koma cwezi lea mimba ya mwanaume mwenzangu ushauri wangu ilee hiyo mimba mpaka mwisho mtoto akikua jamaa atakuja mwenyewe kutafuta mtoto hapo ndo utambana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nataka kujua yupo chuo gani ili nimwelekeze kwa dr amsaidie kwa ukaribu.
 
aisee ni uzembe though inaeza ikawa bahati mbaya.. hawa jamaa unatakiwa ukae nao kimachale. hapo ajiandae kulea peke yake, baba atakuja mtoto akifika umri wa kanumba/diamond
 
Mmnh...Ukibeba mimba ya mwanaume ambaye hajakuoa ujiandae kwa mengi. .!!
 
Mmnh...Ukibeba mimba ya mwanaume ambaye hajakuoa ujiandae kwa mengi. .!!
Una akili sana weye...!
Ukijibebesha mimba kwa mtu asiyejulikana kisheria una tabu, jiandae kwa mengi...!
 
Una akili sana weye...!
Ukijibebesha mimba kwa mtu asiyejulikana kisheria una tabu, jiandae kwa mengi...!

Eti ukijibebesha....unajibebesha au unabebeshwa?
 
Eti ukijibebesha....unajibebesha au unabebeshwa?

Unajibebesha coz wewe nio mwenye dhamana ya mwili wako...!
Kama hutaki kujibebesha una njia mbili;
1. Usifanye ngono kabisa...!
2. Usifanye ngono zembe...!
Zaidi ya hayo unajibebesha...!
 
Huyo mwanamme fisadi wa maendeleo yake,na yeye huyu rafiki yako anamuaminije mwanamme kiasi hicho? kwani huko chuo kafata mapenzi au kusoma? sasa ebu angalia hata hela jamaa anashindwa kutoa? angamjaribu kama anamimba akamuona ustarabu wake wenzie wana jaribu yeye kafanya kweli,mwambie asitoe mimba huwezi jua inawezekana kitoto chenyewe ndio hicho hicho akikitoa ndio hazai maisha..alee mimba halafu atarejea aendelee na masomo....na wewe rafiki yake nadhani utakua umesoma vyakutosha..........
 
Unajibebesha coz wewe nio mwenye dhamana ya mwili wako...!
Kama hutaki kujibebesha una njia mbili;
1. Usifanye ngono kabisa...!
2. Usifanye ngono zembe...!
Zaidi ya hayo unajibebesha...!

Sasa nisifanye kivipi wakati wewe unang'ang'ania....wanaume wa hapa mnaongea tu kwa vile hatuwaoni mnavyolazimisha ngono kwa wapenzi wenu....yes mnalazimisha sana tu whether directly or indirectly
 
Hao ndio wanaume usipowajua lazima uchizike ila mwambie rafiki yako atulie tu alee mimba yake na awaambie tu wazazi wake maana imeishatokea wanaweza kumsaidia kama jamaa anazingua

Lakini mkitujua nasi tukiwajua (tukijuana) si inakua baridi? eti!
 
my frnd bhana,,,, alimpenda sana dat guy,,,, na mvulana pia alikuwa hasikii chochote kwa mwanamke,, sa cjui kakumbwa na shetani gani? au ndo mimba changa na yeye,,,,

Na liwe fundisho kwako na kwa wale wote wenye tabia kama za rafiki yako.
 
Achana nae huyo mwanaume wala usimtafute mimba usitoe waeleze home ujipange mwenyewe. Yote yatapita huyo f.ala mpotezee mazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom