Kweli Mimba Kiboko

Kweli Mimba Kiboko

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
Jamani nafsi inaniuma kila siku kwa yanayomkumba rafiki yangu, zamani baby nyingi, mwanaume anamtungia mwanamke uongo aende akalale kwake.

Kinga hataki eti me siwezi kutumia kinga kwako leo kapata mimba hata salamu hapewi mwanaume matusi kutwa kisa kaombwa pesa ya hosptali, rafiki yangu kaandikiwa sindano tano moja elfu tano.

Mwanaume kataka kujua jina la sindano kupewa tu anaanza wewe umeshaanza tamaa toka ufike chuo, mie sina hela kila mtu ajue muelekeo wake naumia jamani rafiki yangu anataka kupostpone masomo.

Mimba changa inamsumbua kafata ushauri wa kuto toa mimba ila anafikiria ataanzaje kujipeleka nyumbani nisaidieni na hili niweze kumshauri mema.
 
Isijekuwa huyo rafiki yako ni wewe mwnyw......sasa ilikuwaje utege mashine ipigwe nyama tupu wakati ww ni msomi kabisa na una malengo yako kibao tu, tatizo lenu mnadanganywa sana na hivi vi mahaba upuuzi mnavyoviona kwny tamthilia

my frnd bhana,,,, alimpenda sana dat guy,,,, na mvulana pia alikuwa hasikii chochote kwa mwanamke,, sa cjui kakumbwa na shetani gani? au ndo mimba changa na yeye,,,,
 
Hakunaga mapenzi hapo bana ya kukataa mimba....na huwa mnajifanyaga kuuliza eti 'kwa hiyo baby tunavyofanya hivi je nikipata mimba' na jamaa nae anajibu ' ucjali tutalea' matokeo yake ndo hayo
 
baba yako kahangaika umefika chuo umrendekeza ngono zembe. huyu ni wewe tu
 
Mwanaume akupendae siku zote humlinda yule ampendae unasoma though ni.chuo unabebaje mimba??? Tuseme yeye hakujijua kua hizi n.siku hatarishi?? Hata kama anampenda ila tayar kishamharibia masomo yake na maisha yake kiujumla na kisaikolojia pia.....simshaur aitoe kwa kua aliibeba kwa raha na kelele bas alee mimba aje alee mwanae wakat wanafanya kavukavu hawakujua madhara yake!!!


Majuto ni mjukuu
 
baba yako kahangaika umefika chuo umrendekeza ngono zembe. huyu ni wewe tu
Watu wengine macho na fikra zao hazifanyi kazi unaona n.jinsi gan watu wako wanahangaika ukasome unaleta kitumbo angekua mwanangu ningemkana aende huko aliko jazwa tumbo...
 
Raha ya uzinzi upate mimba, gono, kaswende, pangusa au ngoma...
 
Jamaaa 25000 kwel ya sindanoooo inamzinguaa ????? Duh sa uyooo mtotoooo atanunuliwaaa kweliii pampers ,maziwa na nguooo kwl mdadaaa umeingiaaa chochoooo ambayoooo ni nyetiiiiiiii poleeeee poleeee ustoeeee ilaaa
 
mmh,,,, asanteni kwa ushauri wenu,,,, bt cyo mieh,,,, nicngeogopa kujitaja,,,,, bt kutoa mimba kashakataa,,,, atailea tu,,,,,,
 
Hao ndio wanaume usipowajua lazima uchizike ila mwambie rafiki yako atulie tu alee mimba yake na awaambie tu wazazi wake maana imeishatokea wanaweza kumsaidia kama jamaa anazingua
 
mhhh pole ake.. hao ndo wanamme viumbe wenye mikia ya mbele... bora tembo na simba wana mikia nyuma wanajua linda familia zao wakiwatia mimba....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom