Ni kweli aisee na mimi nilikuwa nachukulia poa mtu akisema namna alivyoumizwa na binadamu mwenzie ila na mimi nimekutana na janga ni ngumu kumeza aisee, sijawahi kufikiria hata kwa waganga lakini ilifika muda nikawaza labda huyo mtu nimwendee. Niliwaza sana hawa watu ambao ni wafanyakazi wenzangu nimefanyia nini baya? Mbona niko fair tu, sina cheo chochote, sijawahi pata promo yoyote, kaxi yenyewe ualimu hakuna cha maana. Watu wanakaa wana ni bambi ki zia kesi ya kutembea na mwanafunzi na kumpa ujauzito, kitu ambacho sijawahi kufanya wala kufikilia kuwa na mahusiano na mwanafunzi yeyote. Inauma sana aisee.