Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Mubaba wa 50yrs ni mvulana?
Hapana alinikuta tu Niko moodless yani sikutaka tu Mambo mengi
It seems mzani wa mapenz ulielemea kwake zaid kuliko kwako.
Yeye ndio alikuwa ana mahaba tele.

Ila sasa na zamu hii ww ndio una mahaba tele kwa jamaa mwingine.

Basi ili kupona mkubalie jamaa mwingne mwenye mahaba tele kwako 😂😂😂😂😂

Unaumiaje mwenyewe?. Hebu liza tena mtoto mwingne wa ma mkwe.
 
Me naumia siku 2 tu ya tatu nakuwa kama sijawah kupenda...
Nshaumia Sana kwa Mambo ya msingi Sana nje ya mapenzi kiasi moyo ushakomaa
 
Mimi sitongozagi mara mbili, nikikutongoza ukizingua imeisha hioooo, na tukianza kudeti sikutafuti mara mbili, ukizingua nakaushaaa utantafuta mwenyewe

Uniombe pesa mimi, kukuhudumia nikuhudumie Mimi then nikutafute wa nini???? wa kazi Gani?????.

Usiponicheki wewe imeishaaaa hiyo watanicheki wengine.

Afu sibembelezagi mwanamke, wanawake wapo wengi sana na wanaume tupo wachache sana na hapo Bado hatujawatoa mashoga na wazee wasiodindisha.

Asaivi mtoto wa kike ukitongozwa ukakataa anayekutongoza harudi Tena.
 
Umenichezea umeona haitoshi umeamua kunifungulia uzi 🙃🥹
 
Alijua kulalamika asee alaf me nkawa sijali wala nini. Kama mwezi hivi analia Lia. Sasa nimekutana na mwamba kabisa yaleyale ndo yamenigeukia. Sema nini sijali wala nini
Mwamba kala bila kunawa halafu alivyo mshenzi kamaliza sahani kaiacha mezani ikiwa na makombo kapita hivi bila kuaga na ukijichekesha mwamba hacheki sura ya Mbuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…