Jaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.
Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena. Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.
Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
hivi mnatuonaga dhaifu sana??Usingenyamaza kimya ghafla.. ungemuwinda tu hawachelewagi kukosea hao, ungepata sababu ya kumuacha na ye akijua kaachwa
Alijua kulalamika asee alaf me nkawa sijali wala nini. Kama mwezi hivi analia Lia. Sasa nimekutana na mwamba kabisa yaleyale ndo yamenigeukia. Sema nini sijali wala niniUsingenyamaza kimya ghafla.. ungemuwinda tu hawachelewagi kukosea hao, ungepata sababu ya kumuacha na ye akijua kaachwa
ChaiJaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.
Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.
Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.
Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
Ulimchezea kaka wa watu daah💔🚮😂Jaman za jioni?

ChaiAlijua kulalamika asee alaf me nkawa sijali wala nini. Kama mwezi hivi analia Lia. Sasa nimekutana na mwamba kabisa yaleyale ndo yamenigeukia. Sema nini sijali wala nini
Jaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.
Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.
Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.
Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
Kumbe wahusika wapo humuNingetaja chip alichohitimu atanijua walahy
Ila ni kweli kabisa wala sitanii. Ila sitawataja wahusika maana Uzi utachafuka
Alijua kulalamika asee alaf me nkawa sijali wala nini. Kama mwezi hivi analia Lia. Sasa nimekutana na mwamba kabisa yaleyale ndo yamenigeukia. Sema nini sijali wala nini
Kwa Njia hii hii Watu huwarudia Ma X na Masingle Maza walioacha hapo MwanzoKweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
Kila mtu ni dhaifu akipenda. hasa yule anaekaa upande wa I love You 😀😀hivi mnatuonaga dhaifu sana??
Yule mkaka wa watu wala hakuwa na madhaifu kihivyo alinipenda kweli sema alipenda wakat akili yangu haipo kwenye kupenda mtuKwa Njia hii hii Watu huwarudia Ma X na Masingle Maza walioacha hapo Mwanzo
Maisha yanakufundisha kitu mpaka unajiuliza kwanini Yule wa Mwanzo nilimwacha? Mbona alikuwa na mapungufu kidogo tu😂😂