Kweli maisha ni mapambano

Kweli maisha ni mapambano

mtetezi12

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
24
Reaction score
131
Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake

Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
 
Ana tofauti gani na wasanii wanaokata mauno kwenye video?
 
Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
sasa kwanini udharau kazi ya mwenzio? as long haibi cha mtu na yeye anafuraha na kazi yake hebu muache jamni,,,

Angekaa nyumbani bado mngemsema atoke akatafute kazi yoyote,, kazi kapata bado mnamsema loh
 
Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake

Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
Ww mtoa mada uonekana ni demu tena mpongeze maana yupo kwenye kutafuta hela je kama angekuwa mtu jobless wa kupiga vizinga daily
 
You should be ashamed of judging some one else's hustle.

Maisha sio rahisi kwa mwanaume. Na wengi huwa Wana sign out mapema na kuamua KU lefti uanaume.

Sasa mtu anapopata hela ya halali hata kama kwako unaona ni mishe ya kipumbavu inabidi apewe respect.

Hajakaba, hajadhulumu hajamuumiza mtu na analipwa even though inaweza kuwa kidogo but mambo yake yanaenda.

Sasa wewe kazi yako kumjudge, ukute huna hata msaada kwake..smdh. Let him be.
 
Ww mtoa mada uonekana ni demu tena mpongeze maana yupo kwenye kutafuta hela je kama angekuwa mtu jobless wa kupiga vizinga daily
Either ni demu au anatamani hayo mauno angekatiwa yeye.

As long as customers Wana furahi amuache kabisa na ampe respect. Huwezi jua wateja wanafata hiyo entertainment zama hizi za content creation.

Kuwe na emoji za kumpa mtu nakos za nguvu. Huyu anastahili.
 
Mfumo wa maisha ya sasa na mambo ya uchumi ni mambo hayana uhalisia ..Ukipiga hesabu biashara za halali bila dhuluma, utapeli ,wizi sio rahisi kuendelea ..Hata nchi kubwa zote zinafanya dhuluma kwa wadogo kwa kiasi fulani.

So ukipata nafasi itumie kikubwa upate chochote ,ndio maana kuna mpaka wacheza filamu za ngono yote hayo ili kupate pesa.

Assume mchezaji analipwa pesa nyingi ,na kipe ni kipaji tena anapata burudani kucheza mpira ,bado analipwa.
 
nimeona watu wengi sana wanaowadharau wenzao kwa kazi zao basi mwisho wao huwa sio mzuri ,kama sio wanapoteza kazi huwa wana hustle sana na hakuna kitu,so mleta mada uwe makini sana kuongolea watu vibaya na juhudi zao,maisha bado ni safari
 
Back
Top Bottom