Ukweli ni kwamba Nape hakushambuliwa na Wapinzani like Chadema . Chadema wao walikataa uongo wa kusema wanajivua gamba bila ya kumtaja Nape . Nape alio ona watu wana hoji kujivua gamba akaanza kumshambulia Slaa na mshahara wake . Watu wakamuona hana akili wakamkanya lakini akazidi kuonyesha yeye ni CCM damu ndipo watu wakaamua kusema uozo wake lakini before hakuna aliye mgusa Nape kama yeye bali walipinga kujivua gamba kwamba ni unafiki . Nadhani hapa ndipo Nape alianza kuharibu kumshambulia Slaa na sasa kesha pata majibu . Anangojewa apinge kama hakuwa mwanzilishi wa CCJ
Lakini unaona mashambulizi dhidi ya Nape yanatoka wapi??
Nape anapigwa double boxing - toka kambi ya aliowaita mafisadi ya kuwapa 90 days na pia toka CHADEMA baada ya kutoa shutma za ufisadi ambazo hakuzipangilia vizuri.
Aina hii ya boxing inaruhusiwa katika siasa tu ila katika masumbwi inabidi NAPE aondolewe ulingoni maana ni hatari sana.
nape tayari keshawekwa kati mbele kuna mafisadi wa ccm na nyuma kachokoza mwenyewe toka kwa wapinzani. wote wana mashambulizi makali sana kwake, namsikitia sijui atatokaje kwenye mtego huo.
Nafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?
nape kawekwa kati mbele mafisadi wanamshambulia sana na pia wapinzani wanamshambulia ile mbaya sijui atatokaje hapo........lakini kayataka mwenyewe
nape kawekwa kati mbele mafisadi wanamshambulia sana na pia wapinzani wanamshambulia ile mbaya sijui atatokaje hapo........lakini kayataka mwenyewe
Pambana Nape pambana....siasa zinataka hivyo.
Pambana Nape pambana....siasa zinataka hivyo.
Slaa ndo alianza kuvuruga mkakati wa Nape , yani kesho yake tu kutaja listi ndefuuuuuuuu, Lowasa nomaa
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.
Ni Katibu Mwenezi wa CCM lakini moyoni mwake akiwa mtetezi wa CCJ ndio tabu yake hapoNi kweli kayataka mwenyewe, kutaja mafisadi. Mashambulizi yanatisha
Slaa ndo alianza kuvuruga mkakati wa Nape , yani kesho yake tu kutaja listi ndefuuuuuuuu, Lowasa nomaa
Kumbe na wewe umeliona lengo lake wengine tulimjua tokea mwanzo si wala EL na RA wana nguvu.Lengo la mtoa mada ni kutaka kuonesha kuwa mafisadi wanawatumia CDM kumshambulia Nape, CCM mlitaka kuudanganya uma kuwa hao mapacha wenu watatu ndiyo mafisadi pekee, Slaa akawawahi kabla hamajipanga vizuri akawapa list ndefu ili mtimuane wote. Sasa hilo limemuuma nape, ametangaza vita rasmi na Dr. Slaa, wacha apewe dozi, si kataka mwenyewe.