Rahisi ni kukaa Moshi mjini, na kuwahi alfajiri Marangu geti la kuingilia hifadhi ya Kilimanjaro, Moshi _ Marangu ni karibu sana, Mlima huonekana vizuri wakati jua linapochomoza na kufuta ukungu mwingi unaokua umetanda mpaka kileleni.
Mkuu we mi mvivuu wa kufikiri!ungee enda Hadi marangu then unachukua tax za kuchangia pale Ni buku Hadi getini marangu...unazamandani unaenda kupiga pigaa picha pale,si tu utakuwa umeuona pia utakuwa umeugusa na kuupanda katika hatua za mwanzo
Ukiwa unapita na plane kwa juu from dar to arusha...ndege huwa znaambaa ambaa pembezon mwa bahar had arusha..bas structure znavoonekana yaan utaipenda dunia..vile vile kama kwwnye vitab.milima.tributaries..rivers etc..yaan huk mlima huwa unaonekana vzur had raha..ka zanzibar unakaona kalee..yaan kote