Kweli leo nimekoma

I miss you my better half...😘😘
Aaweee..kumiss-iwa mchana kweupe hivi nini naenda kukipata leo kabla siku haijaisha🤔..!!!

Ahsante Sana kukumiss zaidi tu Mimi😍
 
Aaweee..kumiss-iwa mchana kweupe hivi nini naenda kukipata leo kabla siku haijaisha🤔..!!!

Ahsante Sana kukumiss zaidi tu Mimi😍
Lazima nijivunie wewe babe, maana huu ulemavu wangu wewe ndio unaumudu...😋😋
 
Kwa hali ya hewa leo ni sio rahisi kuona kilele cha mlima sababu ya mawingu siku nyingine ulizia kwanza kabla ya kuanza safari.
 
Ukiwa Tarakea mlima unakuwa karibu kinyama..yaani unahisi unaweza kutembea dakika moja tu kuufikia
 
Nimekaa Moshi siku tatu lakini sikufanikiwa kuuona mlima, siku ya mwisho nikaambiwa natakiwa kuwahi kuamka saa 12 asubuh ndio naweza kuuona
Tulikaa Moshi siku Saba hatuuona siku Ile tumeondoka wakasema yaani ulionekana vizuri sana
 
Panda kibosho au machame mbona unaonekana vizuri ila ukitaka ufurahie zaidi panda rombo tarakea shuka pale tarakea day mbona unauwona vizuri.
 
Hata arusha kuna mahali ukikaa unaona tena vizuri kuliko mtu alieko moshi
 
Nenda Rombo...
 
Pole Sana Arusha ukiwa shule ya msingi naura yani happy central pollice au moshono mtaa wa Lazer yaani moshono Kona Kuna baazi ya siku ukiwa maeneo hayo unauona mlima mwanzo mwisho
 
Pole Sana Arusha ukiwa shule ya msingi naura yani happy central pollice au moshono mtaa wa Lazer yaani moshono Kona Kuna baazi ya siku ukiwa maeneo hayo unauona mlima mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…