Kweli leo nimekoma

Shida ya Marangu na Rombo huwa mnaona vizuri kilele cha mawenzi( kisichokuwa na Barafu) kushinda Kibo.

Kama anataka auone mlima vizuri kabisa hasa eneo lenye barafu ,view nzuri ataiona Moshi mjini, Kibosho, Machame na West kilimanjaro.
 
Hii akili ya uhujumu uchumi. Yaani unashauri watu waende Kenya kuangalia Mlima Kilimanjaro? Wewe una akili wewe? Hii ndo elimu uliyopata miaka yote wewe shetani? Unawezaje shauri mtu akaangalie mlima k.njaro kenya? Nyie ndo Wasaliti wa nchi hii

Ukiwa Kenya ndiyo unaonekana vizuri sana
 
Hata ukiwa kabla ya makuyuni Kama unatokea Minjingu Mt.kili unaonekana vizuri tuu ukiwa Arusha mjini panda juu ghorofani utauona au bends tengeru (sadek) utauona vizuri Ila ukitaka kuona maajabu ya huo mlima kimuonekano nenda tarakea utaona picha tofauti na utahisi Kama unaeza kuugusa Mana unakuwa karibu mno
 
Hii akili ya uhujumu uchumi. Yaani unashauri watu waende Kenya kuangalia Mlima Kilimanjaro? Wewe una akili wewe? Hii ndo elimu uliyopata miaka yote wewe shetani? Unawezaje shauri mtu akaangalie mlima k.njaro kenya? Nyie ndo Wasaliti wa nchi hii
Mkuu nimekukubali sana kwenye kufoka, nadhani ingekuwa ana kwa ana ungemsindikiza na kibao kabisa!
 
Subiri wazungu watoke ulaya wapige picha ndo uuone kwenye picha
 
Hujaacha tu kuongea pumba!!? Nipo ushirika hapa nauona kama upo kwenye mpapai.
Acha urongo bwashee..
Moshi leo kumepambazuka na kijimvua cha kutoa maua ya krismas..
hadi saa tano hii kuna kijiwingu flan hivi
mlima umefunikwa
 
Mt.kili ni upi Kati ya hii miwili??
Na huo mwingine unaitwaje?
 
Hiv post yang imekwambia Leo au nimezungumza uhalisia kuwa nipo nafanya kaz ushirika na huwa tunauona!!
Unataka kunibishia kuwa ukiwa ,ushirika, rau madukani, kcmc,mwenge hauonekani!!?
Uwe unasoma kwa makini kabla hajjanijibu
Unanifokea?
 
Mt.kili ni upi Kati ya hii miwili??
Na huo mwingine unaitwaje?
Mlima kilimanjaro ni mmoja..
wenye vilele viwili, kilele chenye barafu ni Kibo na kilele chenye upara ni Mawenzi..
 
Ngoja na mm nipate vichochoro lazma nione mlima siku moja sio kila sku tunaona kwenye website za mabeberu wakt sie tupo hapa mjn kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…