Kama nani! Utajiuliza sana! Humjui "Rais" wa Arusha!
Ndo mnavyojidanganya hivyo,labda kama ni rais wa majasusi na wauza unga wa arusha,poleni sana kwa fikira potofu
Kama nani! Utajiuliza sana! Humjui "Rais" wa Arusha!
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Kweli nchi hii haina serikali yaani kuna mtu ni raisi wa wauza unga na majasusi halafu halafu anaachwa uraiani..Ndo mnavyojidanganya hivyo,labda kama ni rais wa majasusi na wauza unga wa arusha,poleni sana kwa fikira potofu
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
ukitaka kutushika kubaya watu wa arusha ongea chochote kibaya dhidi ya rais wa arachuga uone..!
Siasa bhana, CHADEMA wakichukua nchi 2015 si wataruhusu machinga mpaka ikulu. Ubungo saivi safi.
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
katoa tamko kamaMkuu wa Nchi ya Arusha. Mbona hamshangai Lema kapiga marufuku CCM Arusha kuvaa Kofia na Magamba ya kijani, na kama unabisha tembelea arusha kila kona watu wanavaa Kofia ,skaf and magwanda tu, ni marufuku rangi ya kijani labda zivaliwe magogoni ya monduli juu.kama sauti ya wasiokuwa na sauti!
Matayarisho ya kuwaondoa yalikuwa bado kukamilika, tarehe imesogezwa mbele wataondolewa tarehe 10 Mei, 2012
watu waleeeeeeee mtabaki mnapigwa na jua wenzenu wanakula, politics is a wirld gem
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
sifa za kijingaSerekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba hakuna machinga yoyote kuondoka mjini.sivyo wawapeleke kwenye eneo waliloliuza huko kilombero...mpaka sasa jamaa wanapiga kazi kama kawaida,,big up lema