CHEMPO
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 368
- 60
Serekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba hakuna machinga yoyote kuondoka mjini.sivyo wawapeleke kwenye eneo waliloliuza huko kilombero...mpaka sasa jamaa wanapiga kazi kama kawaida,,big up lema