Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Kuna siku nilihudhuria event moja hivii, tukawa tunahudumiwa na warembo kama watano hivi na walikuwa wamejipamba vizuri kweli; kutokana na kazi ya macho nikuona nikajikuta nawatazama tu, na moyo ukasahau kusukuma damu na ukaanza kutamani.
Baada ya event kuisha nilirudi zangu nyumbani, ila nafsi ilikuwa inanisumbua kwa nini sikuwasemesha! Kesho kutwa yake nakutana nao mtaani, kumbe ni wa kawaida sana. Kweli kupaka nyumba rangi kunaficha mambo mengi