Kweli kuolewa kuna mengi waweza kufa

Kweli kuolewa kuna mengi waweza kufa

Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya kuishi dar na hajawahi kufika dar,sasa mume kamueleza mkewe rafiki yangu hana jibu maana mume anajua mazingira yaliyopo,na mke akimkatalia ndo yale yale italeta picha hapendi ndugu wa mume jamani huyu mtu tunamsaidiaje je ni haki hiyo?

guest zipo nyingi sana mjini amkaribishe tu
 
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya kuishi dar na hajawahi kufika dar,sasa mume kamueleza mkewe rafiki yangu hana jibu maana mume anajua mazingira yaliyopo,na mke akimkatalia ndo yale yale italeta picha hapendi ndugu wa mume jamani huyu mtu tunamsaidiaje je ni haki hiyo?

straight forward tuna room moja ,chumba cha mgeni hakuna kama anaakili atajiongeza
 
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya kuishi dar na hajawahi kufika dar,sasa mume kamueleza mkewe rafiki yangu hana jibu maana mume anajua mazingira yaliyopo,na mke akimkatalia ndo yale yale italeta picha hapendi ndugu wa mume jamani huyu mtu tunamsaidiaje je ni haki hiyo?

tatizo la wa bongo wengi wanajua kua dar ni ka parisi... maisha raha sana... kumbe ni ujinga ujinga ujinga... mwambie uyo anae taka ajr aishi apo dar akome.... au kama anaona maidha hapa ni ize basi aje apange chumba alafu ndio ataijua dar ikoje....

kila kitu dezo dezo tu aarrrrggghhh
 
Tatizo jamaa akienda kijijini kwao anawaambia amejenga nyumba kubwa Dar,sasa wamepata habari kua anaishi nyumba ya kupanga wanakuja kuhakikisha.Wabongo Kwa kupenda misifa.
 
aargh!hizi pressure za kutafuta,kama mgeni mwanamke mme asepe alale gesti and if ni mwanaume apangiwe guest. Akishaona picha ya mgombea arudi kijjni.

wengine makauzu jamani haondoki ng'odo na wala hajali!
 
Upendoumeisha sana ,
sie zamani kaka alikuwa na chumba kimoja tu na tukakaa kwake tunasoma watatu!! tunalala kwa msela chumba jirani. baadaye akapata chumba na sebule
baadaye vyumba viwli na sebule. na shemeji hakuwahi kulalamika. tulikuwa tuaosha vyombo, tunafua nguo, tunapika tunadeki vyooni, tunayoosha. mpaka tukamaliza shule tukatawanyika!! sasa leo kuishi na ndugu nongwa!! tena akae kimyaaaa akifika pa kulala patapatikana!!
 
Tatizo wanawake hupenda kusukumia wanaume matatizzo yote. Kwani hawezi kushauriana na huyo mume nini cha kufanya? Vitu vingine sio mahala pake hapa.
 
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya kuishi dar na hajawahi kufika dar,sasa mume kamueleza mkewe rafiki yangu hana jibu maana mume anajua mazingira yaliyopo,na mke akimkatalia ndo yale yale italeta picha hapendi ndugu wa mume jamani huyu mtu tunamsaidiaje je ni haki hiyo?
Hapo tatizo ni mume na mke akubali tu kumuuliza anamtafutia sababu amtie hila ya choyo kwani mazingira huyo mume yemwenyewe si anayaona.
 
Back
Top Bottom