Si amwambie live tu ila kwa lugha nzuri kidogo,smthn like 'unaonaje ukaja kipindi cha christmass labda,saivi tumepanga chumba kimoja mkuu'.. mana ukikosea kuongea nae tu ndugu wanaweza kukuwangia bure,
Angekuwa kashafika hapo Dar ingebidi akae kwanza mnamlaza sebleni ,siku moja mnakaa nae mnaongea then mnamrudisha kijiji,
if i were the wife af kakomaa sana hamna haja kuanza pishana maneno sana na ndugu wa mume,ningemkaribisha vizuri tu alale sebleni until further notice