Kweli kuolewa kuna mengi waweza kufa

Kweli kuolewa kuna mengi waweza kufa

Wengi tumekuja town kwa njia hii...basi tu umimi umezidi siku hizi..!!
 
simple,muelezeni hali halisi kuwa huku hali si hali hamuwezi kumu accomodate,kama amejipanga financially muanze kumtafutia chumba mapema akifika afikie kwake!
Aking'ang'ania atakuwa ana analowatafuta sasa!!!
uko sawa kabisa
 
wengi tumekuja town kwa njia hii...basi tu umimi umezidi siku hizi..!!
lkn si ulikuta mwenyeji wako ana kasehem kakukulaza ?sio umimi jamani hata mazingira huoni?choo kipo ndani ukibanwa na haja uingie chumbani ndo ukatoe kinyesi chako!!!!ukitaka kuoga uingie huko ukaoge looo hatareee
 
Ananijua vizuri sana,ni lazima tukae kama kamati kwanza!!! Lol!!!!
Ila tuna hekalu ujue,pa kulala hutakosa ila ukikurupuka bila taarifa company ya wifi sahau as niko busy!!!

hahahahahaha tiketi nishakata nini busy hata ukihama ukiniachia hilo hekalu nimeridhika lol
 
hahahahahaha tiketi nishakata nini busy hata ukihama ukiniachia hilo hekalu nimeridhika lol

Karibu sana,kukuachia hekalu sahau maana hujui nili sacrifice vingapi kulipata!!!!! Lol!
 
labda mwanaume akienda huko kwao anajitangaza kajenga dar!
 
Hahahahaha jaman watu wengine wakisikia Dar wanazania ni paradise hahahahaha
 
huu mji kwa sasa watu wapo vitani jamani watalii waende mikumi
 
Back
Top Bottom