Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Halafu kuna huyu samia suluhu, aliwahi kuropoka kwamba wao wakitaka kuua hawawezi kukukosa, kweli hawa watu baadhi ni makatili kama baba yao
 
Wewe mlevi na mbinafsi kaa kimya.

Hakuna kitu unaweza sema kupindisha ukweli huu...

Mwanamke wa kiafrika ndiyo NGUZO ya jamii ambayo wewe jinga unaishi ndani yake.
Ukweli upi umeongea hapo zaidi ya propaganda za kishenzi ulizomezeshwa na wana harakati uchwara wa haki za wanawake.

Eti "mwanamke wa kiafrika ndio nguzo ya jamii" halafu "wanaume wa kiafrika ni walevi na wanabinafsi".. pumbavuu kabisaa.

Bila mwanaume wa kiafrika kufanya sacrifices Leo hii hili taifa lingekuwa huru?

Bila wanaume wa kiafrika kulinda mipaka yetu dhidi ya magaidi leo hii wewe na wanawake wa kiafrika wote kwa ujumla mngeweza hata kusherekea Christmas??

Bila mwanaume wa kiafrika leo hii wewe hapo ungezaliwa!?? Na huyo mama yako angejivunia kuitwa mama bila huyo mwanaume wa kiafrika!? Au wewe mwenzetu ni cracker!?

Leo hii hapo wewe na familia yako mkivamiwa na majambazi usiku, mtu atakayejitokeza kuja kuwasaidia obviously atakuwa ni mwanaume huyo huyo wa kiafrika na sio mwanamke wa kiafrika...matako weww

Asilimia kubwa ya dada zako wa kiafrika wanaoishi kwa kuhongwa, wanahongwa na wanaume wa kiafrika.

Kama kweli mwanaume wa kiafrika akiamua awe mbinafsi kwa mfumo wetu huu wa maisha tulionao, basi jamii yetu itapitia kipindi kigumu sana.

Tatizo la nyie watoto wa kiume mliolelewa na " bitter single mothers huwa mnamezeshwa chuki kali sana dhidi ya baba zenu, na bahati mbaya zaidi chuki hiyo huwa aishii kwa baba zenu tu, mnajikuta mnawachukia na wanaume wengine wote.

Hivyo Basi, unajikuta unachukia jinsia nzima ya kiume na kuona wanaume hawana thamani na badala yake unaona wanawake pekee ndio watu wenye thamani hapa duniani.... angalia Kama Sasa hivi tayari umesha aminishwa wanaume wa kiafrika hawana lolote zaidi ya ulevi na wanawake ndio nguzo, kitu ambacho ni upuuzi mtupu.

Again congratulations for your single parent for raising one of the most disgusting simps.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Well said!!
 


Yaani mkuu kati ya majibu yaliyotolewa kwa mtoa post yako yamenikosha. Bado mtoa post utu wa kale upo ndani yake
( Badala kukiri kosa anatafuta wa kumtupia lawama-Adamu)'Huyu mwanamke ulienipa'. Mw: 3:12. Kile kilikuwa kiburi na kukosa utii. Umeshawahi kufikiria kama Adamu angekiri kosa bila kutupa lawama hali ingekuwaje. Naona ndo yaliyomtokea mtoa post bila kuzingatia huyo anayemlaumu(mwanamke) alikuwa na uwezo wa kumtoa mimba au kumwua angali mdogo wala tusingeona post zake za kipuuzi
 
Sababu uliyotoa ni ya kijinga.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
 
JF imejaa simps kinoma....Halafu unakuta their wildest dreams ni sikumoja kuamka akute PM ya mdada wa JF anamuambia "I rely liked your comment Tukutane Lodge"...pathetic
 
JF imejaa simps kinoma....Halafu unakuta their wildest dreams ni sikumoja kuamka akute PM ya mdada wa JF anamuambia "I rely liked your comment Tukutane Lodge"...pathetic
This forum is full of simps na manginas!!

They can stoop as low as denigrating their own gender just to impress the F-gender with the expectation of hitting some coochies one day.

Angalia Kama mpuuzi mmoja hapo anasema eti wanaume wa kiafrika ni walevi tu na wanawake ndio nguzo ya jamii... That is the highest level of simphood.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 

we jamaa nawewe ni too feminine mpaka unakera....sijui unategemea siku moja wadada wa hapa JF watakuzawadia tunda kisa unawateteaga sana
Tunamzawadia tuu kwani shingapi? Sio mtoto huyo akatangaze
 
watu wa ivi most probably ni virgins wanaoshinda nyumbani kwa mama na cycle ni Eat,sleep,JF and masturbate.
so they'd anything to please an online avatar
 
we jamaa nawewe ni too feminine mpaka unakera....sijui unategemea siku moja wadada wa hapa JF watakuzawadia tunda kisa unawateteaga sana
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kila mtu na mtazamo wake ndugu hakuna cha u feminine wala femiten! Si kila kitu ni kusimama na kutetea jinsia yako tu tena kwa hoja dhaifu alizoweka mweka mada.. viumbe anaowaita wana roho mbaya ndo kila kiumbe kimepitia mikononi mwao!,muda mwengine jifunzeni kuangalia upande mwengine wa coin.. sio tu kutetea jinsia kitu ambacho hata unapozaliwa huna option unajikuta tu we me au ke!.

Mwanamke si chanzo cha matatizo hapa duniani mchawi twamjua japo mnajitahidi kufikicha.
 
Apa sasa umeongeza petrol kwenye moto...mbaya zaidi yeye anaamin so anaweza kuja tukana wanaume wote wa JF
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai..🀣🀣

Mkuu mi natumia mantiki na si kubeba jinsia tu there is no probleme.. 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…