Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Hizi ni zile hoja za kawaida nilizotegemea kutolea na watu wanaogafafa na wewe
Ha ha! Think big ndugu acha lawama zisizo msingi.. usijelaumu kitu usichojua jinsia zenyewe watu hata hawachagui unajikuta tu! So unawalaumu kwa upuuzi wa wewe kushindwa kuelewa.

Hizo ni hulka ndugu.
 
Umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu.

Wanawake wetu ni wazuri wala hawana roho mbaya.

Wanawake wakiafrika ni wavumilivu sana.

Wewe jinga mbinafsi jifunze kuheshimu wanawake wetu weusi wazuri.
 
Umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu.

Wanawake wetu ni wazuri wala hawana roho mbaya.

Wanawake wakiafrika ni wavumilivu sana.

Wewe jinga mbinafsi jifunze kuheshimu wanawake wetu weusi wazuri.
Tena hawa wa kiafrika ndio wachawi na mashetani na kabisaa
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Kama kuchangia hoja ni haki yangu basi mimi nasema hivi siwezi kusimama kumtetea mwanamke hata siku moja.
 
Mheshimiwa mwandika bandiko ulichelewa kuwafahamu Sana,Mimi hata nikimkuta anabakwa napita tu,nawaambia masela waendelee,
Kuna jamaa yangu Fulani bodaboda,alimpa lift mdada kufika maskani kijiweni mdada kaomba kushuka,na akadai chenji,kamjazia watu,Tena alisema ametoa Ela kumi,ikabidi jamaa ampe tu,elfu Tisa,lift katoa,na hela katoa.
Weka mbali na watoto,wanawake kabisa
 
Tafuta helaaaaa !!!!!! Wanawake ni paradise ndogo ntakuja kuelezea baadae lkn tafuta helaaaaa kwanza bila iooooo hawa viumbe ni nyokaaaaa kabisaaaa na ana sumu kali
 
Wacha uongo.

Mwanamke wa kiafrika ni mkarimu, mvumilivu na mcheshi.

Tena ni mama anayefahamu kutunza familia.

Wanaume wengi wa kiafrika ni walevi na wabinafsi.

Inasikitisha sana.

Very disgusting.

Nyie matoto ya kiume mliokuzwa na single mothers mlistahili kuwa wanawake tu, sio kwa chuki hizi mlizonazo dhidi ya jinsi yenu.

Anyway congratulations for winning The "Best simp award"

Our dear JF feminists love this post.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika maneno mengi ila shida ni una uelewa mdogo kwa kile ulichoandika..


Ulipaswa kusema mwanamke amepewa nguvu ya kujenga au kuharibu mambo/vitu/watu.

Sasa kama ilivyo kawaida mtu yeyote ukimpa nguvu asipokuwa makini ataitumia kuharibu zaidi na sio kujenga..Na dunia inazungumzia ubaya sana kuliko wema hivyo ndo hapo utasikia mwanamke hivi mwanamke vile..

Ila kiukweli kuna watu wamefanikiwa kwenye maisha sababu tu walipata wanwake ambao kimsingi ilikuwa chachu ya kubadilisha maisha yao,mama zetu hawa wamefanya mengi sana sisi kufika sehemu flani...

Itoshe kusema wana nguvu flani ambayo yawapasa kuwa makini otherwise jamii inaweza kupotea angalia jamii za zamani kipindi wanaume ndo wanatabia za ajabu ajabu kuvuta bangi,wakorofi na kila kitu!!!sasa cheki na jamii ya sasa ambayo wanawake wamekuwa na tabia za ajabu km sisi wanaume!!Angalia jamii ipi imevurugwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…