Kweli Kingereza lugha ya kimataifa hata ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Kingereza lugha ya kimataifa hata .....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, May 2, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wanabodi, habarini .
  Hivi mnayo habari kwamba lugha ya Kingereza itaendelea kukimbiza na kua mbele kiasi isikutwe na lugha yeyote duniani ?
  Utafiti uliyofanywa hivi karibuni na wataalamu kadhaa wa lugha, umebaini kua baadhi ya wanyama wanaongea English !
  Katika kuthibitisha hili, angalia mifano hii michache.
  > PAKA
  Endapo utamchelewesha kumpa chakula kwa wakati paka husema , kwa kukumbusha "NOW!" "NOW!"
  > NG'OMBE
  Huyu apewapo malisho yake na asishibe , husema "MORE!" "MORE!"
  > MBWA
  Ikiwa utapita/utafika maeneo ya kwao na hakujui , husema
  "WHO ! " "WHO ! "
  Kingereza sio cha kuchezea !
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli.
   
 3. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Duuh! I'll back after a while.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Sa uki-bark si utakuwa umbwa?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  na viazi ni potato
  nyanya ni tomato

  english ni rahisi sana.

  Watoto hamjambo kwa inglish ni watototo hamjamboto.

  Ongeza 'to' mwisho tu.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Kongosho kwa kizungu litakuwa kongoto au kongoshoto?
  I missed you though.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahaha
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Missed you too BADILI TABIA.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Nzuri sana aisee.Saizi yake ni jukwaa la Utani/Udaku
   
Loading...