Kweli kabisa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
IMG-20170426-WA0007.jpg
 
Tena kadiri umri unavyoongezeka na utamu pia unaongezeka. Kama unabisha hebu jiulize utamu uliokuwa unaupata wakati mnacheza kombolela ni sawa na unaousikia sasa hivi? Hence proved
 
Itakua utamu wa pipi ya kijiti ile ya lollipop, hata uwe na 60+ ita-taste sweet tuu hakuna namnaa..

Cc: LOLLIPOP
 
Back
Top Bottom