Kweli hii kali nimeishuhudia mwenyewe

Kweli hii kali nimeishuhudia mwenyewe

Jamaa anaeleweka tu vizuri,Ni kwamba bwana harusi mtarajiwa alishtukiwa kuwa ana mchepuko,wazee wakaja juu,na kwa sababu mchepuko alikuja nao kwenye kikao,ikabidi rafiki yake abebe dhamana ya kujifanya kuwa ndo boyfriend WA mchepuko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom