Siamini
Kanisa la Mabomu pale kwa pembeni kidogo. Nadhani kingekuwa hilo eneo husika ungeshafahamu maana hii issue ilitokea last year.Olasiti sehemu gani,nina eneo huko halafu niko mbali
Akikuelekeza nipitie twende wote.Ohooo nielekeze ni wap badae nkakuchekie kama kipo au wamasai washajenga
Siamini shosti yani umekuja kuniumbua huku?Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Kama unacho kiwanja niuzie mkuu
Ni kweli bei za viwanja zimeshuka sana kipindi hiki, ila bado watu wanauza na kununua kama kawaida.
Hata nyumba za kupanga zimeshuka bei ila wateja wapo wengi kama zamani.
Ni wapi ulipo hakuna wapangaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Your in my mindKiwanja toka 60M hadi 3M na thamani ya ardhi mara zote inapandaga kila uchao.
Just do it kama unabet vile
Mmh ya kweli haya?Achana nacho hicho. Kitakuletea kesi au mara ujenge ukute nyumba hailaliki. Tafuta kiwanja ambacho kiko clean like a whistle hata kama ni huku kwetu Mwanagati. Sio lazima ukae Ilala
Kibamba kuna viwanja vya mkopo. Unalipia milioni unusu zilizobaki utalipa baada ya miaka 2.
hahaaaaaaa u made my dayπππππ€£π€£π€£Nunua tu,next time thread zako utakua unaziandika unamalizia na hizi emojπ’π©π«πβΉπ°
Viwanja vya mirathi we ngojea Baada ya miaka mi 3 mbele,atatokea mtoto ambae hajulikani
katokea wapi atakuja na Documents zote za kwamba kiwanja ni chake na baba alimuandkishia yeye
sasa hivi hao ndugu si wanasema mambo muswano,oukeiii "nunua" ila ipo siku utasema "ninge"
Eti awamu hii ardhi haina thamani!!...unaongea kama nani mzee...waziri wa ardhi auAwamu hii ardhi haina thamani. Kila siku watu wanatulilia wanataka walau 3M ili watoe 600 sqm
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahaaWatz mnapenda sana rushwa na ubwerere. Kaza raisi Magu. Mimi nikiwa raisi mtakula mchanga. Fanya kazi
Nyinyi ndiyo mafisadi.wenyewe mlikuwa mnatumbua Pesa za wananchi kifisadi ndiyo maana mmalalama ovyoKuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.