tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,775
Mpe tu huko ccm hali ni mbaya sana,utapata thawabu kwa shetaniKuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Mkuu awamu hii kuna nyumba, viwañja vinauzwa wateja hakuna hata madalali hawana maana nyumba za kupanga nyingi zipo waziKiwanja toka 60M hadi 3M na thamani ya ardhi mara zote inapandaga kila uchao.
Just do it kama unabet vile
Ni kweli bei za viwanja zimeshuka sana kipindi hiki, ila bado watu wanauza na kununua kama kawaida.Mkuu awamu hii kuna nyumba, viwañja vinauzwa wateja hakuna hata madalali hawana maana nyumba za kupanga nyingi zipo wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
60m to 3m?Siamini
Awamu hii ardhi haina thamani. Kila siku watu wanatulilia wanataka walau 3M ili watoe 600 sqmKiwanja toka 60M hadi 3M na thamani ya ardhi mara zote inapandaga kila uchao.
Just do it kama unabet vile
Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Haya mambo ya urithi sijui mirathi ni ujinga mtupu na kupotezeana muda..mimi kuna sehemu niliacha mpaka hicho kibanda. Kuna mahala nikanunua shamba kama hekari 15 nikalipa kwa mwenye mali mbele ya ushahidi wa serikali ya kijiji. Alivyokufa mzee wao kukazuka kuwa ndani ya mali za kugawana na shamba langu lipo nikaona hawa wataniumiza nikamtafuta mtu nikampiga nalo tena mahakamani kwa document za ushahidi wa kijiji. Huyu anachekelea kutoka 60 mpk 3M. Akianza kwenda mahakamani atajutia uamuzi wake. Ila tumpe ushauri ataelewa kama ana tabia kama za kenge mpk atoke damu masikioni tupo hapa.mkuu uko sahihi zaidi. nmewahi kununua shamba kikaniletea dhahama kama hzo ila mwisho wa siku nlikipata, na kufidiwa gharama zangu za usumbufu, since then nko makini sana!
Kuna rushwa wapi hapo au umesoma ila nawe uonekane umesoma na umechangia.Watz mnapenda sana rushwa na ubwerere. Kaza raisi Magu. Mimi nikiwa raisi mtakula mchanga. Fanya kazi
Kiwanja kiko sehemu gani na kina vipimo gani?Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.
Wewe umeona ni mwandiko wa bibi huo?
Muongo sana wewe. Au umetumwa kutudalalia Kiwanja from 60ml. to 3ml.! Hats uongo hujui kutunga.Kiwanja toka 60M hadi 3M na thamani ya ardhi mara zote inapandaga kila uchao.
Just do it kama unabet vile
hawezi kupa details kwakua hii ni tea.