ChukuaaaaKuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichikisikia.
Niuzie mimi kwa million 4Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichikisikia.
Umekula bingo bi dadaKuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichikisikia.
Kama cha familia nakushauri achana nacho...hiyo M3 yako ni kubwa sana nina madhara ya kununua vitu vya familia hasa mambo hayo. Ukiweza nenda nae RITA ama mahakamani mirathi ina mambo sana. Nashauri tu pesa ni yako.Changamoto kubwa ilikuwa ni miradhi kwani watoto wote walikua wanamtegemea dingi. Lakini alikabidhiwa yeye akiwa mtoto mkubwa wa kiume.
mkuu uko sahihi zaidi. nmewahi kununua shamba kikaniletea dhahama kama hzo ila mwisho wa siku nlikipata, na kufidiwa gharama zangu za usumbufu, since then nko makini sana!Kama cha familia nakushauri achana nacho...hiyo M3 yako ni kubwa sana nina madhara ya kununua vitu vya familia hasa mambo hayo. Ukiweza nenda nae RITA ama mahakamani mirathi ina mambo sana. Nashauri tu pesa ni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nacho hicho. Kitakuletea kesi au mara ujenge ukute nyumba hailaliki. Tafuta kiwanja ambacho kiko clean like a whistle hata kama ni huku kwetu Mwanagati. Sio lazima ukae IlalaChangamoto kubwa ilikuwa ni miradhi kwani watoto wote walikua wanamtegemea dingi. Lakini alikabidhiwa yeye akiwa mtoto mkubwa wa kiume.
AlkasusiKuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana nae.
Juzi amenitumia ujumbe tukutane tuongee. Tulipokutana anasema yuko tayari kwa milioni 3 tuamdikishiane anipe kiwanja. Hapa nilipo sijaamini nilichokisikia.