DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,657
- 81,559
No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
Ilikuwa zamaniNo Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
View attachment 2457793
Aisee sema Hali Ngumu nowIshi na watu vizuri mkuu
Jitoe out mkuu kula upendacho kama uwezo upo siku ipite.Aisee sema Hali Ngumu now
Ukiona hupati mualiko ujue ni zamu yako kualika watu waliokualika awali.No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
View attachment 2457793
Als JF-Mitglied sage ich DankeUkiona hupati mualiko ujue ni zamu yako kualika watu waliokualika awali.
Usipende kualikwa tu kila siku.
Mbona naona pilau na ugali kwa sahani mojaWatu wachoyo,amini
Nimejisongea zangu ugali sitaki shida,najua wataleta vilivyopoa jioni itakuwa msosi wa kuku,View attachment 2457886
MbogaMbona naona pilau na ugali kwa sahani moja
Nil per oral
Sheenz


wanavyojuaga kushobokea vya wenzao sasa loooh
Ngoja wataonawanavyojuaga kushobokea vya wenzao sasa loooh
![]()
Hii ngoma inogileNo Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
View attachment 2457793
Mimi nimenunua mihogo na vitumbua nimeshiba nimebakiza mingine ya usikuWatu wachoyo,amini
Nimejisongea zangu ugali sitaki shida,najua wataleta vilivyopoa jioni itakuwa msosi wa kuku,View attachment 2457886
