Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Nimepita mitaa ya uswahilini Mwananyamala kwenye kichochoro kimoja nimewakuta wazee wawili wamekumbatiana kwa mahaba mazito wakilana denda. Nikapita kama siwaoni mara nikasikia, "Mjukuu wangu hii nd'o Mwananyamala hapa kazi tu."