Kweli CHADEMA Kiboko, CCM Kimyaa, Kama Sio wao

Wameamua kukaa kimya baada ya kuona wanabishana na mwendawazimu,hapo mwanzo walifikiri ni watu timamu kumbe ni wavuta bangi wanaochochea vurugu.hongera ccm acheni kubishana na hao watu wa vurugu.pangeni sera za ushindi 2015.

Siku zote Mwenda wazimu huona kila kitu na kila mtu ni mwenda wazimu, kichaa huwaona wanaokula vyakula safi kuwa vichaa kwa kula vyakula ambavyo akili yake huviona ni vichafu, yeye hukimbilia kwenye shimo la takataka na kubugua makombo akidhani yuko kwenye lishe bora. Nashindwa kukutofautisha, sijui kama unatofauti naye MKUU.
 
kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.
 
Bila shaka una wazimu wewe. Huyu huyu Lowasa unayemzungumzia hapa si ndio alikuwa kampeni meneja wa Kikwete? Wakati ule alionekana mali kiasi cha kuleta ushindi wa 80% na Leo inakuwaje ndio anakumbukwa katika visa vya Nyerere? hakika mmechanganyikiwa!
 
Chama cha magamba hakina uwezo wakupambana kwa hoja. Labda kwa juju. Wao wanauwezo mkubwa wa kuzomea. Inashangaza hata wazee eti tunaowategemea vijana ndiyo watalamu wa kuzomea . sielewi wototo wao itakuwaje kama si kupata shahada ya kuzomea. Hata mkuu wa kaya naye ana mabango kama ya kwenye kanga. Eti yuko ikulu ameshika dola je angekuwa kiweni kama sisi sijui angekuwaje?.

Nimewatoa hapa nikawapeleka pale. BY JK Presd. of the united rep of TZ.
 
kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.

Ni michapo na mistari tu umeandika mzee, sijona zaidi.
 
lampard
1.Kati ya CCM na CDM nani aliyemuita Lowasa fisadi in the 1st place?
2.Hivi b4 Slaa nyie mlishautumia huo msamiati 'fisadi'
3.Ni Mbowe aliyeenda kumpigia campaign Lowasa 2010 kule Monduli?
4.kama ni Mkuu wenu ndie aliyemtambulisha Lowasa just less than a year ago; na akasema ni msafi; ufisadi according to u ameanza lini?

Hitimisho!
Mtasema sana; mtajidanganya sana lkn maskini mtanzania wa kawaida keshawachoka mpaka basi! Mfa Maji haachi kutapatapa; ndicho mkifanyacho! I pity u!
 
icon1.png
Re: Kweli CHADEMA Kiboko, CCM Kimyaa, Kama Sio wao

kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.

Crap from magamba members. Unalipwa shilingi ngapi na mafisadi hata unapata ujasiri wa kuwatetea kwenye mtandao wa great thinkers? I gues you must be Rizwan 's young brother or Jk elder son.
​
 
-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

Naona huna hoja! Hivi aliyempitisha EL kugombea jimbo lake ni Mbowe au JK? Wakati EL aliposema yeye na JK hawakukutana barabarani je JK alipinga? JK alipomteua EL kuwa Waziri Mkuu hakujua kuwa Nyerere alishampinga? Huna hoja! Umeishiwa! Hamia airtel, I mean CDM
 
nasikia raha mie, yaaani rahaaa he he hee! Mpendazoe bana kama mesi, bonge ya hat trick ile wamenyamaza ka wanaangalia muvi ya rangi ya bahari teh teh teh!
 
Wameamua kukaa kimya baada ya kuona wanabishana na mwendawazimu,hapo mwanzo walifikiri ni watu timamu kumbe ni wavuta bangi wanaochochea vurugu.hongera ccm acheni kubishana na hao watu wa vurugu.pangeni sera za ushindi 2015.

usikosefu wa neno,jitahid jk atakupa vit ubunge.bora bang wendawazimu watibika.yule aliyeliwa kidogo na kupewa uwazir ili hal dume?
 
Chadema ndiyo chama tawala kilichochaguliwa na watanzania wakati ccm walichaguliwa na tume ya uongo ya uchaguzi iliyosaidia kufanya ujambazi
 
Kama hoja zenye mashiko ndizo hizi, basi CCM hakuna watu kabisa.Tehe tehe tehe

kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo (Unamaanisha Kuiba kura Lazima).....

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia?(Mbona CCM hampendi kusoma, Nenda kwenye website ya Chadema wamejieleza) leo mnatapeliana wenyewe (Bora tunayaona hayo magari, mbona Richmond hatujaiona na pesa mmekula?) kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa (Kuliko tundu moja la choo 700,0000,000/- bagamoyo) na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM ( (Walio katika First eleven ya CDM) , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake (Kumbe chama ni cha Familia?) halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA

-CHADEMA mnakazi kubwa sana (Katika kuwaelimisha wananchi juu ya ufisadi) katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA (Ndiyo maana wanatuzomea CCM namajimbo yanakuwa machungu) haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO.
 
kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.

Mkuu nakupongeza kwasababu angalau nimecheka sana.

Haya bana, Nilikua sijui kama LOWASA, ANDREW CHENGE na ROSTAM AZIZ sasa hivi ni Sponsors wa CHADEMA.

Hivi unajua CHADEMA ingekua madarakani hawa jamaa wangekua wapi leo?

Mbona jamani watu mnapenda kuandika upupu humu? yaani unakaa kabisa chini na Kumuweka Lowasa CHADEMA! we kiboko aisee,

If there was a special instrument to measure hatred am sure, Lowasa hate CDM more than JK do.
 
kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.
Wewe Bwn Lampard ni mgonjwa wa akili kabisaa, kwa sababu unadhani Tanzania ipo hapo kutawaliwa na CCM tu basi, hakuna chama kingine chenye haki kutawala Tanzania. Kwa taarifa yako sasa hao watu wako wa CCM na watoto wao wameshindwa kutawala hii nchi yetu, wamekalia wizi na ufisadi kuwalinda wezi kama RA,EL,RIZ,CHENGE na wengine wengi tuu!!!!!!!!!!
Hakuna kitu serikali hii inafanya, bei za vitu hazishikiki, umeme ni washida, mipango ya maendeleo ni hafifu kama hakuna kabisa. Shida kubwa ni wizi, halimashauli zote ni wizi, wizara ni wizi, mpaka vijijini serikali inaibia wananchi mashamba, machimbo, madini, hakuna hatua zinazo chukuliwa!!!!!!! Unategemea watu wataendelea kuabudu chama hicho cha magamba CCM mpaka lini?????????Kama Watanzania walikosea tayari wameishaona makosa yao, hivyo Ndg kaa chonjo watu wanazidi kujua ukweli wa umasikini wetu, uongo wa wanamaghamba CCM umefika mwisho!!!!!!!!!! KWA HERI!!!!!
 
Back
Top Bottom