Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,352
Huo sasa umbea. . . hayo matusi unayotaka TUache ni yapi?
Yeahhh anzisheni umoja wenu, alafu na nyie mnasusia za ambao sio wageni ehhhh?
ah, hapana!
Lengo si kususa, ila na sie tupeane support...
Masikini ID yangu!