kweli asiyejua maana usimwambie maana

kweli asiyejua maana usimwambie maana

Damas peter

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Kwanza ahsanteni sana wale wote mliochukua fulsa ya kunishauri vyema nini nifanye tupo pamoja,kweli ss binadamu tuna mapungufu ila si sawa kumjibu mtu kwa kejeri,dharau,kashfa ama masimango ikiwa mtu hawezi kutoa ushauri mzuri si aache tu maana haikuandikwa kuwa yy ni lazima ajibu tufike mahala tukue ndugu zangu nawatakieni maisha mema
 
anaandika kwa sababu ameona ni cha maana sasa utamzuia vp kutoa mchango wake,usitegemee ktk maisha kusifiwa na wote,kupendwa na wote,kuchukiwa na wote au kukataliwa na wote kinachotakiwa ni kukubali matokeo kwani jibu la mjinga ni kukaa kimya usishindane nae.......................:coffee:
 
malizia basi na ukimwambia maana atakuambia umemtukana
 
ndugu yangu unaendeshaje maisha yako?
hivi vicoment vya humu vikutishe?watu hawakujui hawakulishi hawakuvalishi ha ha ha wengine wakati wanaandika wanamistress yao akiingia humu hasira anazimalizia kwa keyboard.just relax my dia hivi ni vijimambo tu kwani wamekufanya nini??/
 
Potezea mkuu, we chukua yale yanayokufaa mengine acha. Binadamu hatuwezi kufanana hata siku moja, we are different with different characters
 
Back
Top Bottom