Kwel siku ya kufa nyani.......daaah

Kwel siku ya kufa nyani.......daaah

Sasa utaishije,..au kaz unadhan ni lazma kuajiriwa mkubwa?..kaz ni kaz tuu ilimrad inaingiza pesa..au hatujaelewana maana sjaelewa unaposema huhitaj kaz.
Mimi mstaafu nakula pensheni.
 
Kijana unaona sifa KUZINI?
Mpka unawatangazia watu!!!
 
Mtu anakula sambusa halafu anataka abandue duuh! Umechamba mara ngapi hadi muda huu nikupe maujanja?
 
Na ww umelemba. Sio mapenzi ni kuzini tu. Full stop

Nawe umekosa, uzinzni ni watu walio kwenye ndoa wanapo amua kutoka nje, ndio huitwa uzinzi. Hao walichotaka kufanya ni uasherati kwasababu wapo nje ya ndoa 😕😁😁
 
Marekebisho no.3
Sio tendo la ndoa ni kufanya mapenzi. Hilo tendo wanafanya walio na ndoa tu.
Tendo bado ni la ndoa maana ni kwa ajili ya wenye ndoa hata ukifanya nje na hapo bd tendo ni la ndoa tu halibadiliki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom