Sina.Wew huna?
utoto uliotukuka..
Duuuuh..
Umekunywa Konyagi nini mkuu kabla ya ku post.?

Duh.! Nchi hii utashangaa mtu mwenye mwandiko wa hivi na akili mbovu hivi anapewa ukuu wa mkoa!Za mchana viongoz..leo ndo nmeanza likizo yangu..sasa kama kawaida kuna mdada hua anakuja kufanya usafi, nampigia sim anakuja,..ingawa pia jana nilimwambia beibe aje kuanzia jion
Cha ajab amekuja saa nne asubuh,.kamkuta huyu dada anafanya usafi,..huko nyuma aliwai kuja hiv hiv akamkuta,ulizuka ugomv,..na leo kaja kamkuta tena mdada huyu huyu wa siku ile,.halaf huyu dada wa usaf sjui vp,anajijua ana tako kuliko dem wangu halaf anavaa kaptura,dah
Maskin dem wangu kaniletea sambusa za nyama hapa nmezila ile saa nne asubuh,inshort tumekula wote,ila tokea hyo asubuh,naendesha vbaya mnooo.
Yaan
1.ugomv mkali had mdada wa kaz kaondoka et atamalizia mwenyew
2.naharisha kinoma noma,had nahis nmekonda ndan ya muda mfup,af dem ananicheka et,
3.nilipania tendo la ndoa leo vbaya mno ila mpaka dk hii hata nguv za hyo kitu sina
Uzi tayar
Sihitaji.Komaa komaa kijana utapata
Tendo la ndoa kwa demu?! Tendo la ndoa ni kwa mke tu kaka!! Uharo mwemaZa mchana viongoz..leo ndo nmeanza likizo yangu..sasa kama kawaida kuna mdada hua anakuja kufanya usafi, nampigia sim anakuja,..ingawa pia jana nilimwambia beibe aje kuanzia jion
Cha ajab amekuja saa nne asubuh,.kamkuta huyu dada anafanya usafi,..huko nyuma aliwai kuja hiv hiv akamkuta,ulizuka ugomv,..na leo kaja kamkuta tena mdada huyu huyu wa siku ile,.halaf huyu dada wa usaf sjui vp,anajijua ana tako kuliko dem wangu halaf anavaa kaptura,dah
Maskin dem wangu kaniletea sambusa za nyama hapa nmezila ile saa nne asubuh,inshort tumekula wote,ila tokea hyo asubuh,naendesha vbaya mnooo.
Yaan
1.ugomv mkali had mdada wa kaz kaondoka et atamalizia mwenyew
2.naharisha kinoma noma,had nahis nmekonda ndan ya muda mfup,af dem ananicheka et,
3.nilipania tendo la ndoa leo vbaya mno ila mpaka dk hii hata nguv za hyo kitu sina
Uzi tayar

Marekebisho.... sio kufanya mapenzi ni kufanya ngono, tena zembe...Marekebisho no.3
Sio tendo la ndoa ni kufanya mapenzi. Hilo tendo wanafanya walio na ndoa tu.

HahahaaaMarekebisho.... sio kufanya mapenzi ni kufanya ngono, tena zembe...
![]()
![]()
![]()
![]()