Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,275
Umebalance mikoa au ni ubora wakwaya... gwakukajaArusha Town Choir
Azania Front walioimba Kweli NI Huzuni kwa Kifo chake Yesu
Mbeya Moravian Choir
Umebalance mikoa au ni ubora wakwaya... gwakukajaArusha Town Choir
Azania Front walioimba Kweli NI Huzuni kwa Kifo chake Yesu
Mbeya Moravian Choir
HakikaRekebisha hapo Na. 2.. Ni Barabara 13 Ulyankulu..
Kwa orodha yako Hii, na Mimi nakuunga Mkono.
Ila Hii Barabara 13 Ulyankulu, ilipaswa kuwa Na. 1.....
utawaacha wapi kwaya ya kkkt Arusha walioimba kwaherini ndugu kiitikio mungu akipenda tutaonana tenaToka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe
1.St James Arusha au tumaini shangilieni
2.Barabara ya 23 Tabora
3.Mapigano ulyankulu Tabora
4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo
Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Au kila Mtu atauchukuaa Mzigo wake mwenyewe...¶utawaacha wapi kwaya ya kkkt Arusha walioimba kwaherini ndugu kiitikio mungu akipenda tutaonana tena
Naunga mkono hoja 💯. Hasa hao mapigano ulyankulu 🙌 ilitakiwa wawe ndo namba mojaToka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe
1.St James Arusha au tumaini shangilieni
2.Barabara ya 23 Tabora
3.Mapigano ulyankulu Tabora
4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo
Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Yaani avatar unaweza dhani ni shetani aliyeamua kuwa malaika mwema kwa kutaja jina Mungu asee!.Avat yako tu ndio inanifurahisha. Sasa hivi dunia imepadilika kuna gospel flavour na sebene gospel. Yaani wakati mwingine ndio maana mungu anasema niondoleeni kelele zenu hapa.