Kwaya nne bora toka tumepata uhuru 1961

Kwaya nne bora toka tumepata uhuru 1961

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,954
Reaction score
8,148
Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
 
Avat yako tu ndio inanifurahisha. Sasa hivi dunia imepadilika kuna gospel flavour na sebene gospel. Yaani wakati mwingine ndio maana mungu anasema niondoleeni kelele zenu hapa.
Ila zote zinamtukuza Mungu maana anaketi katika sifa kuzi classify ni swala binafsi la binadamu.
 
Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne

TOT ya captain Komba
 
Kwaya ya Kizito pale Parokia ya Ubungo - Mabukuburi sidhani kama ina mpinzani, huwa inakodiwa mpk mikoani. Nilitoa elfu 60 wakati wa harusi yangu na zikuwa harusi kam 10 hivi roughly jamaa walipata kama 600k. Wako viziri sana, Mungu awabariki zaidi
 
Ni kwaya nzuri sana lakini kwa hizo kwaya nne bado kuzifikia kwa uimbaji utunzi lakini kwa upande wangu nionavyo
 
Ni kwako wewe na usilazimishe iwe kwa kila mtu. Naona watu wanaandika unasema hakuna kama nne. REKEBISHA KICHWA CHA MAWAZO YAKO WEKA NENO KWANGU. Mtu umezaliwa jana saa mbili unaleta habari za kusadikika eti 'TANGU MPATE UHURU'
ghrrrrr... NIMEPATA HASIRA NA KWARESMA HII... Usirudie.
 
Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Nkinga Christian Choir na moja ya nyimbo zao ni Sauli
 
Kwaya zote mlizotaja ni nzuri sana kwani zina ujumbe wa kumtukuza Mungu enyi Wakristo wenzangu.

Sijui kwanini hamjataja hata chache za Roman Catholic hasa St. Theresa Arusha

Kuna Machakos pia- Kenya
 
Back
Top Bottom