Kwaya nne bora toka tumepata uhuru 1961

Kwaya nne bora toka tumepata uhuru 1961

Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Rekebisha hapo Na. 2.. Ni Barabara 13 Ulyankulu..

Kwa orodha yako Hii, na Mimi nakuunga Mkono.

Ila Hii Barabara 13 Ulyankulu, ilipaswa kuwa Na. 1.....
 
Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Kwa utunzi, mpangilio wa sauti, hakuna kama kwaya za RC na SDA choirs.

Lakini kama ni sebene, basi uko sahihi kwa upande wako
 
Kwaya gani ile inaimba "kwa kutenda kosa,umekula tunda,evaaa, evaaa,mbona umekula wewe"
 
Toka tumepata uhuru 9/12/1961 hizi ndizo kwaya bora kabisa kuanzia utunzi ubunifu na kufikisha ujumbe

1.St James Arusha au tumaini shangilieni

2.Barabara ya 23 Tabora

3.Mapigano ulyankulu Tabora

4.Kwaya ya vijana kkkt Mabibo

Mpaka sasa sijaona kwaya ya kufikia hizo kwaya nne
Arusha Town Choir
Azania Front walioimba Kweli NI Huzuni kwa Kifo chake Yesu
Mbeya Moravian Choir
 
Umenikumbusha kwaya ya kihesa Iringa.. Mamajusi wa mashariki , Ni nani huyo aongozwaye..

kuna moja kama sikosei inaitwa kurasini watakuwa wabato masalia wale nao wako vizuri sana.
Kurasini SDA Choir ni Wasabato ila siyo Wanamasalia, wala Tanganyika Sabato. Wale ni mainstream Seventh-day Adventists.
 
Kuna kwaya nyingi nzuri ingawa hata hizo ni nzuri sana Kwaya kama ya Lulu,Amkeni Fukeni Kwaya,Mama Jusi ,Makongolosi Kwaya,Kijitonyama Aic Makongoro hizi Kwaya nazo s haha zilikuwa nzur sana
 
Naona mnaona kwaya za kikatoliki sio kwaya,
Hivi unaachaje kutaja kwaya hizi.
St. Joseph Cathedral
St. Monica
St. Maurus - Kurasini
St. Francis of Assiz -Mwenge I thinks
Na nyingine nyingi za hapo DSM
 
Back
Top Bottom