abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Yes ipo siku wataimba kwa mpalange kwenye jukwaaNa hao wasanii ndio hutumika kwny kampeni za CCM kila siku.
Sio mbaya tutawazadia kofia kama tulivyofanya kwny kampeni za 2020.Yes ipo siku wataimba kwa mpalange kwenye jukwaa
Huwezi kua upo ndan ya mtumbwi unaovuja maji ukaacha kumziwia anae toboa ukaanza kwanza kuziba matundu ambayo katoboa awaliHivi wasanii wanaweza kila siku kuimba nyimbo zenye maudhui yasiyopendwa na idadi kubwa katika jamii?
Nadhani hapa kuna tatizo kubwa la kimalezi ambalo linaanzia kwenye jamii/Vijana wa leo,
Vijana wenye maadili mema hawawezi kupenda nyimbo za matusi,
Tuanze kurekebisa chanzo cha tatizo kwanza.
Kwaio wewe ukiambiwa na mtu umpe tigo utaelewa Nini? Au utampaWimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,
Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,
Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.
Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
Haya,poa basi, nikusafishe mtaro?Wimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,
Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,
Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.
Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
Nchi hii imejaa wajinga sana mkuu, kwa mpalange ni eneo lililopo hapa nchini. Eti lakini ukiimba kwa mpalange eti ni tusi...what the fu.ckWimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,
Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,
Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.
Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
Nataka nikupige deki na nikusafishe mtaro, lkn pia uing'ate ndizi yangu.Nchi hii imejaa wajinga sana mkuu, kwa mpalange ni eneo lililopo hapa nchini. Eti lakini ukiimba kwa mpalange eti ni tusi...what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Hauwezi kuwa unahukjmu kwa kutumia tafsiri za watu.
Mimi sina mtaro, mitaro iko mingi mingi mitaani huko kasafishe kama unataka kusafisha. Halafu ning'ate ndizi yako ili iweje? Kwa nini usiing'ate wewe?Nataka nikupige deni na nikusafishe mtaro, lkn pia uing'ate ndizi yangu.