Kwasababu nampenda sana mtoto wake, ananilazimisha nimuoe

secretary POMPEO

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,908
2,000
Twende moja kwa 1 kwenye mada maana kuna wateja wamenizunguka hapa!

Mtaani kwangu nina jirani yangu single mother, imekua na kawaida kila nikitoka kazini mtoto wake ananikimbilia huku anaita "babaaa! Babaa! Babaaa!" kutokana na hali ile nimekua nikipendezwa sana na yule mtoto mara nyingne ikawa namletea zawadi kama nguo, viatu na toys za kuchezea.

Sasa juzi nikaenda dukani kununua maji ya baridi ambapo mama wa yule mtoto anauza, baada ya kununua maji nikawa naondoka, akaniita tena "samahani jirani!, Asante kwa zawadi unazompa binti yangu zimekua zikinifariji sana mpaka nahisi kama wewe ndio baba wa mzazi wa mtoto, natamani sana tulee huyu mtoto kwa pamoja!" NILISHANGAA SANA.

nikamjibu kua mimi familia yangu ipo mkoani hapa mjini nipo kikazi tuu kwahyo tubaki kua tuu majirani wema, lakini nikamuachia namba yangu ya simu.

Sasahivi hapa nachat nae ananiambia leo anaomba nikalale nae kama sitojali, ndio najifikiria hapa niamue nini, maana kumtafuna sitaki maana namuheshimu sana.tena

Sec Pompeo
 

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,353
2,000
Mkuu wewe hapo unataka tukushauli nni sasa
Anyaway ........ Nenda kumkula tu huyo manz but. Hakikisha Mme wake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom