Kwaresma njema

ooh nishaelewa sasa,ndo maana anakufanyia vituko na bado upo! Itabidi nikufanyie maombi maalum,
Wifi kweli ulinambia, huezi amini tumeenda na kakako kanisani kantoroka kabla misa haijaisha na hivi nampia simu haipatikani... Hajapakwa hata majivu khaaa!
 
Wifi kweli ulinambia, huezi amini tumeenda na kakako kanisani kantoroka kabla misa haijaisha na hivi nampia simu haipatikani... Hajapakwa hata majivu khaaa!

aliogopa mapepo yangepiga kelele,nilijua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…