Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
Hebu angalia hivyo avatar ya kakako afu unambie kama anafanania kupigwa...lol.
Ntaanzia wapi na kuishia wapi? Unadhani kalegea kama Bishanga eeh?
Bado sijaelewa mpaka ufafanue, safari gani ya usiku afu asubuhi umerudi...
Bado sijaelewa mpaka ufafanue, safari gani ya usiku afu asubuhi umerudi...
Kulitokea wizi wa kuvamiwa kwenye mgodi wetu mwingine kwa ilibidi tuende kama team ili kuhakiskisha mambo yanaenda sawa. Ilikuwa ni ghafla mno
anakudangaanya anakudangaaanya huyooo
just singing
Ni kweli nilisomea ila kakako simuwezi, naona yeye ana mbinu nyingi kunizidi...kama vipi pitia home jioni tumchangie manake hasira bado hazijaisha!wee si uliniambia umesomea kung-fung?unaweza kumpiga sana tu
Ukitaka nikuelewe, andika haya maelezo kwenye kijitaftari afu ugonge muhuri wa kazini.Kulitokea wizi wa kuvamiwa kwenye mgodi wetu mwingine kwa ilibidi tuende kama team ili kuhakiskisha mambo yanaenda sawa. Ilikuwa ni ghafla mno
Nikuletee zawadi gani leo mdogo wangu
Ni kweli nilisomea ila kakako simuwezi, naona yeye ana mbinu nyingi kunizidi...kama vipi pitia home jioni tumchangie manake hasira bado hazijaisha!
Ukitaka nikuelewe, andika haya maelezo kwenye kijitaftari afu ugonge muhuri wa kazini.
Umeonae? 'SIDANGANYIKI NG'O'anakudangaanya anakudangaaanya huyooo
just singing
Ukitaka nikuelewe, andika haya maelezo kwenye kijitaftari afu ugonge muhuri wa kazini.
Hahahahahaaa! I love you wifi...na usimwambie wewe ni chama gani, abunie mpaka apatie lol!nataka bata mzinga,,jogoo watatu,na bendera ya chama changu
nataka bata mzinga,,jogoo watatu,na bendera ya chama changu
Hashindwi huyu kakako we si unamuona alivyo mjanja mjanja!hapo nimekupenda wifi,na ole wake afoji muhuri,!
Hahahahahaaa! I love you wifi...na usimwambie wewe ni chama gani, abunie mpaka apatie lol!
Nimeanza kukupenda kwa mbali, kazana nisogee karibu!Usiwe na hofu my love nipo kwa ajili yako
Mmh hizo zawadi utadhani masharti ya kwa mganga wa kienyeji? Aya nitajitahidi ila kwenye hapo kwenye chama ni mgogoro wa utambuzi
Hahahahahaaa! Leo tunae huyu lol...akileta tofauti ndo ataelewa kwanini nyoka hana mabawa
Hashindwi huyu kakako we si unamuona alivyo mjanja mjanja!