Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Habari zenu wakuu,
Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake.
Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu na amani.
Thanks a lot kabakabana! Iwe njema na kwako pia!Habari zenu wakuu,
Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake.
Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu na amani.
Wewe dini gani mdogo wangu, hujambo lakini mwenzio nimechukuwa majivu kibao natembea nayo leo mengine nauza
Thanks a lot kabakabana! Iwe njema na kwako pia!
mimi mzima,na dini yangu haijalishi., unayauza sh.ngapi?
bwana'ko anauza majivu,what a husband you have.
Kijiko kimoja sh.50 kikubwa 100.
Halafu wewe mbona hivyo embu kaoshe vyombo ukimaliza upige deki nyumba nzima
mimi simo,leo ni siku ya kuiheshimu sana wewe endelea na mauzo tu
Hapana natania mdogo wangu hapa sweetlady keshanitayarishia nguo za kuendea kanisani thats nampenda sana
Afu nimemnunia manake jana hakulala nyumbani!bwana'ko anauza majivu,what a husband you have.
Afu nimemnunia manake jana hakulala nyumbani!
alikuwa anawasaidia wakenya kugoma labda,huwa unampiga eeh?
Afu nimemnunia manake jana hakulala nyumbani!
Hapana sikugoma maana nilimpigia simu yake ikawa imezimwa nilitaka kumtaarifu kuwa nimepata safari ya ghafla ya kikazi ila tumeshayamaliza mdogo wangu usiwe na wasiwasi
ahsante sana& jumatano njema ya majivu....
Hebu angalia hivyo avatar ya kakako afu unambie kama anafanania kupigwa...lol.alikuwa anawasaidia wakenya kugoma labda,huwa unampiga eeh?
Bado sijaelewa mpaka ufafanue, safari gani ya usiku afu asubuhi umerudi...I'm sorry for yesterday sikuwa na nia mbaya kama nilivyokuambia.