Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Mfungo lazima uhusishe kuacha dhambi zinazokusikitisha

Je ni dhambi gan inakuumiza unataka kuiacha lakin huwezi

Je ni dhambi gani inakusikitisha?

Basi dhambi hiyo ifanyie kazi katika kipindi hiki cha kwaresma ukaiache kabisa
 
Upendo ndo amri kuu mbele za MUNGU

Mwenye upendo haibi
Mwenye upendo hasemi uongo
Mwenye upendo hujali wenzie
Mwenye upendo hatembei na mke wa tu
 
Back
Top Bottom