Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #941 Tumsifu YESU KRISTO
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #942 Kuna wenzetu wapo kwenye vita hasa huko Israel, Iran, Ukraine na urusi Tuwaombee
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #943 Sala ni nguvu na msaada kutoka kwa bwana Basi tuendelee kusali sana ndugu zangu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #944 Kesho ni ijumaa ya njia ya msalaba Tufike katika parokia zetu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #945 BWANA awabariki sana
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 12, 2026 Thread starter #946 Kwaresma njema
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #947 Tumsifu YESU KRISTO
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #948 YESU KRISTO ni mwema ndugu zangu, tuendelee kumwendea kila siku Anajibu maombi
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #949 Kwa YESU KRISTO Kuna miujiza ya kushangaza
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #950 Leo ilikuwa ni ijumaa ya njia ya msalaba Msalaba ni utambulisho wa mkristo lakin pia msalaba ni alama ya wokovu
Leo ilikuwa ni ijumaa ya njia ya msalaba Msalaba ni utambulisho wa mkristo lakin pia msalaba ni alama ya wokovu
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #951 Nawatakien kwaresma njema
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,302 Reaction score 5,628 Mar 13, 2026 #952 MUNGU MWENYEZI awabariki sana
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 14, 2026 Thread starter #953 Kesho ni Dominika ya nne ya kipindi cha kwaresma
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 14, 2026 Thread starter #954 Tukumbuke kumtukuza MUNGU
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 14, 2026 Thread starter #955 Mkristo hutakiwi kuishi kwa kuivamia dunia
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 14, 2026 Thread starter #956 Usiku mwema wapendwa
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,792 Reaction score 25,559 Mar 15, 2026 #957 Beira Boy said: Tumsifu YESU KRISTO Click to expand... Milele Amina
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,792 Reaction score 25,559 Mar 15, 2026 #958 Mayala B said: Tumsifu YESU KRISTO Click to expand... Milele Amina
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,792 Reaction score 25,559 Mar 15, 2026 #959 Mayala B said: Leo ilikuwa ni ijumaa ya njia ya msalaba Msalaba ni utambulisho wa mkristo lakin pia msalaba ni alama ya wokovu Click to expand... Amina
Mayala B said: Leo ilikuwa ni ijumaa ya njia ya msalaba Msalaba ni utambulisho wa mkristo lakin pia msalaba ni alama ya wokovu Click to expand... Amina
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,966 Reaction score 42,169 Mar 15, 2026 Thread starter #960 Leo ni jumapili nyingine tena katika kipindi chetu cha mfungo wa kwaresma