Kwaresma na Pasaka Special Thread

Niwatakie kila la kheri ila kuweni makini na wale vibaka , wanatuharibu image yetu , wanaweza kulipua huko kwenye misusanyiko yenu.
Asante sana ndugu yetu

Wale huwa wanazingua sana unakuta watu mko kanisani mumeshika matawi yenu mikonon alafu kumbe Kuna mtu yeye ana bom kiunon

Ni hatari sana
 
Kina nani hao walimtuma wapo wangapi??
 
Mtumish sisi tunaadhimisha kumbukumbu la mateso, kifo na kufufuka kwa BWANA WETU YESU KRISTO

Hatuadhimishi tarehe sisi siyo waganga wa kienyeji

Sisi tunaadhimisha kitendo cha kuteseka , kufa na kufufuka kwa BWANA na hiyo ndiyo pasaka

Tarehe tunakuachia uadhimishe wewe lakini sisi hatuadhimishi tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…