Pia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
Sijui wakristo tunakosea wapi, wenzetu sikukuu imetengeneza a long weekend hebu Mwamakula shauriana na wenzako kalenda ifanane na wenzetu kama walivyofanya wiki hii