Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Ezekiel 18:20-24

Ukisoma hiyo Aya hapo juu utaona ni jinsi gan ilivyo hatari sana juu ya habari ya kutenda dhambi

Kwahiyo unaweza funga kipindi chote cha kwaresma lakin endapo kitaisha na ukarudia dhambi basi bwana atakupiga

Lakini pia unaweza funga siku nzima alafu ikifika jion ukaanza kuvuta sigara na kula ugoro basi tambua kwamba BWANA hataihesabu funga yako yote maana itafutwa na uovu ulioutenda jion

Kumbe basi kipindi hiki cha kwaresma kitusaidie kuacha dhambi

Amina
 
Leo siku ya 15 tumebakiwa na siku 30 kulifikia fumbo la pasaka

Nawatakien nyote kwaresma njema
 
Yeremia 17:5

Ameleniwa aliye mfanya mwanadam kuwa tegemeo lake

Tuendelee kumutegemea MWENYEZI MUNGU watumishi wa MUNGU naye atatujaza
 
Tutaya lishe mioyo yetu kesho ni alhamisi siku ya kuabudu ekarist takatifu

Tujitaid tuhudhirie
 
Aliye kuwa askofu msaidizi wa Jimbo la dar es salaam kwa sasa ndiye askofu wa jipya la bagamoyo

Anaitwa askofu musomba
 
Back
Top Bottom