Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Injili ya mwana mpotevu aliye amua kurudi kwa baba yake

Luka 15

Nasi katika kipindi hiki cha kwaresma tumrudie mola wetu

Kwaresma njema
 
MUNGU ni mwema sana

Naendelea kumshukuru kwa kunipa nafasi hii ya upendeleo ya kufunga katika kipindi hiki
 
Mtakatifu Benjamin alikufa kikatili kwa maumivu makali
 

Attachments

  • Screenshot_20250331-203418.png
    Screenshot_20250331-203418.png
    147.8 KB · Views: 12
Back
Top Bottom