Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Pia bwana Beira nimekuuliza , Yesu kulingana na biblia alifunga siku 40 usiku na mchana.
Nyinyi andiko la kufunga mchana na kula usiku mumefundishwa na nani?!
Wewe dogo ulishinda njaa bure tu saiz unazin kinoma yaan
 
Sijui wakristo tunakosea wapi, wenzetu sikukuu imetengeneza a long weekend hebu Mwamakula shauriana na wenzako kalenda ifanane na wenzetu kama walivyofanya wiki hii
 
Sijui wakristo tunakosea wapi, wenzetu sikukuu imetengeneza a long weekend hebu Mwamakula shauriana na wenzako kalenda ifanane na wenzetu kama walivyofanya wiki hii
Shida hawa sikukuu yao ni ya kupangiwa na CCM

Kwahiyo CCM huamua wao iwafaavyo
 
K
Kobazi wanalalamika tunawatenga
Kobazi hawajawahi ishiwa malalamiko

Saiz myahudi anawatwanga hawataki kumpigania MUNGU wao, wangekuwa wanapigana na mkristo wangeanza kumpigania MUNGU wao

Jamaa wana muogopa sana myahudi
 
Back
Top Bottom