miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
pole nasikia ukoko wa ugali ni dawa....
Cha papuchi......
pole nasikia ukoko wa ugali ni dawa....
amsugue na limao na sukari pia ampake deodorant
Mimi ni mdada mwenye
umri wa miaka 27.Nina
uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo
mapenzi huwa nashikwa na
chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la
usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.. Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba
atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake... Jamani, naombeni msaada ili
uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu. Maadam A.
Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana MMU wenzangu labda akiingia JF atasoma maoni yenu
mimi ni mdada mwenye
umri wa miaka 27.nina
uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo
mapenzi huwa nashikwa na
chafya kali sana.
![]()
chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la
usafi sijaona kama ni tatizo kwake.
![]()
kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.. Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba
atanielewa vibaya.kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake...
Kwa nini kwenye blue
jamani, naombeni msaada ili
uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu. Maadam a.
Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana mmu wenzangu labda akiingia jf atasoma maoni
yenu
View attachment 119558jumapili njema
Tyta unatumia kinywaji gani nimtume muhudumu saa hii?
achukue limao, bila kulikata apigepige mpaka lianze kutoa majimaji halaf aminyie kwenye kwapa kwa muda wa siku 3 mfululizo....kwahisani ya kipindi cha tv (skumbuki channel, msijeniuliza)
nasikia hata mate ya simba aliyezaa nayo dawa.
ngoja tumsubiri atoke mazoezi jogging a.k.a mazoezi ya viungo cc mzizimkavuDaaah. Pole ngoja tumwite MziziMkavu atoe somo hapa.
Umepataaaa haina gharama hiiUmepataaaa haina gharama hiiView attachment 119570will do me fyn
huu sasa utani wakati mwenzio anataka msaadatena hilo limao lipigiwepigiwe kwenye kwapa za mkuu hadi lilainike hahahahaaa! pole yako na yake