Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

keypass

Member
Joined
Dec 2, 2017
Messages
51
Points
125

keypass

Member
Joined Dec 2, 2017
51 125
Habarini wakuu!

Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu.Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo Kwanza ina miezi sita.

Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume.Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo Kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.

Nimejaribu dawa mbali mbali pasipo mafanikio yoyote.Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshndwa namna.

Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,419
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,419 2,000
Kinachokutesa ni saikolojia ya tendo lenyewe, unapanik sana kuhusu madhaifu yako so unazidi kuharibika kiutendaji siku hadi siku. tafuta mtaalamu wa saikolojia akurekebishe, ongea na mkeo vizuri kuhusu hilo tatizo ili awe anaenda na ww ado ado. Hii inaweza kuwa ni njia moja ya kutatua hilo jambo. Kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu.
 
keypass

Member
Joined
Dec 2, 2017
Messages
51
Points
125

keypass

Member
Joined Dec 2, 2017
51 125
Why imetokea hivyo??? Ulipiga sana nyeto au ndivyo ulivyozaliwa????
Hapana before nilikuwa sawa,enzi za boys nyeto zilihusika Sana lakin niliacha na nikahisi kuna tatizo but baadae nikawa sawa bao tatu zikawa kawaida Ila baada ya kufunga ndoa ndio mambo yakuwa Lukumba lukumba
 
keypass

Member
Joined
Dec 2, 2017
Messages
51
Points
125

keypass

Member
Joined Dec 2, 2017
51 125
kinachokutesa ni saikolojia ya tendo lenyewe, unapanik sana kuhusu madhaifu yako so unazidi kuharibika kiutendaji siku hadi siku. tafuta mtaalamu wa saikolojia akurekebishe, ongea na mkeo vizuri kuhusu hilo tatizo ili awe anaenda na ww ado ado. Hii inaweza kuwa ni njia moja ya kutatua hilo jambo. kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu.
Shukran Sana Kwa ushauri!huwa najitahidi kushusha pressure kabla ya Tendo lenyewe lakini suala la saikolojia muhusika unaweza ukajiona huna tatizo la saikolojia kumbe unalo acha nitafute mtaalam wa saikolojia pia
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
11,290
Points
2,000

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
11,290 2,000
Hapana before nilikuwa sawa,enzi za boys nyeto zilihusika Sana lakin niliacha na nikahisi kuna tatizo but baadae nikawa sawa bao tatu zikawa kawaida Ila baada ya kufunga ndoa ndio mambo yakuwa Lukumba lukumba
wakati upo sawa ulikua na mahusiano na mke wako huyo au ulikua na mwanamke mwingine?
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,419
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,419 2,000
Shukran Sana Kwa ushauri!huwa najitahidi kushusha pressure kabla ya Tendo lenyewe lakini suala la saikolojia muhusika unaweza ukajiona huna tatizo la saikolojia kumbe unalo acha nitafute mtaalam wa saikolojia pia
ok sawa ila daktari wa huo mtanange ni mkeo, mkeo anaweza kukutibu haraka sana. mkeo wakati wa mnyukano ile umeingiza usianze kusugua itulize kama dakika mbili ndani, hii itakupa kuzoea joto na ile hali ya kuwa ndani huku ukivuta pumzi na kujicontrol then anza in out zako mdogo mdogo, ukiona wazungu wanataka kutoka tulia tena na uvute pumzi fanya hivyo mpaka muda unaoona unafaa ww may be nusu saa nk. rudia zoezi hili mpaka ulizoee kabisa utakuja kutoa mrejesho utakuwa nomaaa goli la kwanza unaenda nusu saa mzee baba. Ila mkeo akuvumilie wakati huu unajifunza how to control ur self. karibu kwa zaidi kama bado hujaelewa.
 
kamwendo

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
542
Points
1,000

kamwendo

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
542 1,000
Mkuu tendo la ndoa huongozwa na hisia. Naamini tatizo halitokuisha kama utaendelea kujiona dhaifu mbele ya mkeo.

Mosi jipe muda wa kutosha wa kumuandaa mkeo, Usiwe na mawazo hasi kuhusu hali yako.
Fanya mazoezi kweli maana isije kuwa unachezacheza ukasema unafanya mazoezi.

Ni vyema wa wakati wa tendo lenyewe ukawa unafikiria vitu vingine kabisa hii itasaidis kukufanya uchelewe kukojoa.

Muone Psychologist Akusaidie.
 
keypass

Member
Joined
Dec 2, 2017
Messages
51
Points
125

keypass

Member
Joined Dec 2, 2017
51 125
ok sawa ila daktari wa huo mtanange ni mkeo, mkeo anaweza kukutibu haraka sana. mkeo wakati wa mnyukano ile umeingiza usianze kusugua itulize kama dakika mbili ndani, hii itakupa kuzoea joto na ile hali ya kuwa ndani huku ukivuta pumzi na kujicontrol then anza in out zako mdogo mdogo, ukiona wazungu wanataka kutoka tulia tena na uvute pumzi fanya hivyo mpaka muda unaoona unafaa ww may be nusu saa nk. rudia zoezi hili mpaka ulizoee kabisa utakuja kutoa mrejesho utakuwa nomaaa goli la kwanza unaenda nusu saa mzee baba. Ila mkeo akuvumilie wakati huu unajifunza how to control ur self. karibu kwa zaidi kama bado hujaelewa.
Chief Mwenyezi Mungu akubariki Sana yaani! Nimekupata vyema kabisa,kuna jamaa yangu ktk kutafuta ushauri aliniambia mke wake alikuwa bega Kwa bega na yeye ktk kutatua hili tatizo,bahati mbaya mimi mke wangu kuna muda tunakuwa pamoja kuna muda ana panick Sana full misengenyo Ila all in all ni muelewa acha nikae nae chini nilifanye hili zoezi pia.Shukran Sana mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,353,237
Members 518,297
Posts 33,075,459
Top