Mimi ni mdada mwenye
umri wa miaka 27.Nina
uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa. Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo
mapenzi huwa nashikwa na
chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la
usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu.. Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba
atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake... Jamani, naombeni msaada ili
uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu. Maadam A.
Nimeitoa sehemu hiyo nimemuonea huruma nikaona nishee na wana MMU wenzangu labda akiingia JF atasoma maoni yenu
hicho ni kikwapa sugu,watu wenye tatizo hlo wapo na mimi binafsi nawafahamu wengi sana na imewaletea shida pia kwenye mahusiano,kutibu kikwapa sugu ni kazi cha msingi hapo kabla hamjaanza kufyekana jaribu kumshawishi atumie marashi au perfume hyo itasaidia na hutoboreka,pia jitahd uwe una spray room!
ilisha junior , Unaweza kuvumilia masharti yote hayo uliyoyaainisha hapo? mie siwezi kuvumilia nitajitahidi nikishindwa nakuacha
tena deodorant ya 4rever livingamsugue na limao na sukari pia ampake deodorant
Kama gharama za roll on haziwezi basi atumie limao.Weee kalia kulog off wenzio wanateseka na vikwapa cc washawasha
Mmmh sasa mate atayapatajee?nasikia hata mate ya simba jike ni dawa.
Hahaha miss chaga umeua, hii dawa kiboko
Honestly si atumia doggy style tu solution imepatikana au!??
Honestly si atumia doggy style tu solution imepatikana au!??[or/QUOTE]
Methor Mento Methor kikwapa na dog style
Si ndiyo hatasikia harufu ya kikwapa..au!??
bora wewe usifiaye wako!mi naskiaga ila sijawai kujaribu mi wa kwangu ananukia unyunyu balaa! yaani akikupita tu lazima uvue nguo umfate
Sista kweli ukoko wa ugali ni dawa yani ugali ukishapikw yale maji yaliyolowekea sufuria anachukua anasafishia kwapa ndani ya wiki kikwapa kinakata hiyo na limao ni dawa za asili nzuri zimesaidia watu ninaowajua.Nyingine ni baking powder anaweka kiasi na kusua kwapa kisha anasubiri dk chache ndo aoge b.powder inasidia kukata harufu na pia kuondoa weusi wa kwapa.